Chama, Dube na mifumo minne Yanga
Dar es Salaam. Vuta picha hapa kuna Clatous Chama kule Prince Dube katika kikosi cha Yanga chenye nyota wengine kama vile, Stephane Aziz KI, Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli na Mudathir Yahya ambao waliwafanya Wananchi kutembea kifua mbele msimu uliopita na kusherehekea ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho (FA). Chama ambaye mkataba wake…