AIRTEL TANZANIA YAANZA KUTUMIA MKONGO WA BAHARINI WA AIRTEL 2AFRIKA KULETA MAGEUZI YA MTANDAO HUDUMA ZA INTANETI

  · Ni Mkongo wa Mawasiliano baharini wenye uwezo mara10 zaidi ya iliopo · Kumaliza changamoto ya kukosekana kwa huduma ya intaneti kutokana na sababu ya kukatika kwa mkongo wa baharini · Uchumi wa kidijitali unatarajiwa kukua kwa kiwango cha juu zaidi KAMPUNI ya Airtel Tanzania imeanza kutumia rasmi Mkongo wa mawasiliano unaopita baharini wa…

Read More

AMREF TANZANIA IKISHIRIKIANA NA WIZARA YA AFYA, BENKI YA ABSA NA WADAU KUPITIA PROGRAMU YAKE YA ‘UZAZI NI MAISHA WOGGING’ YAKABIDHI VIFAA TIBA KUIMARISHA UZAZI SALAMA ZANZIBAR

Makabidhiano ya Vifaa Tiba Kupitia Programme ya “Uzazi ni Maisha Wogging” Makabidhiano ya Vifaa Tiba Kupitia Programme ya “Uzazi ni Maisha Wogging”   Zanzibar, Tanzania – 24 June, 2023 – Shirika la Amref Health Africa -Tanzania, Kwa kushirikiana na Benki ya Absa na Wizara ya Afya ya Zanzibar na Wadau mbalimbali, leo limekabidhi vifaa tiba kupitia program…

Read More

Mradi wa LTIP kumaliza changamoto ya makazi holela Kondoa.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) umedhamira kumaliza changamoto ya makazi holela kwa kuyafikia maeneo yote ambayo yameendelezwa bila kupangwa na hayajafikiwa na zoezi la urasimishaji katika Halmashauri ya Mji wa Kondoa. Mradi huo unalenga kutambua, kupanga, kupima na kuwamilikisha wananchi katika maeneo…

Read More

Ndugu wa mateka wa Gaza wazidisha mbinyo kwa Netanyahu – DW – 24.06.2024

Katika taarifa yake iliyotolewa kufuatia kauli ya waziri mkuu Netanyahu kuhusu makubaliano ya kumaliza vita hivyo, Jukwaa la familia za mateka na wasiojulikana walipo, limesema kukomesha mapigano Gaza bila kuwaachiwa mateka kutakuwa kushindwa kwa kihistoria kwa kitaifa na kuondoka kwenye malengo ya vita hivyo. Wamesema wajibu na jukumu la kuwarejesha mateka viko mikononi mwa waziri…

Read More

Kariakoo ngoma mbichi | Mwananchi

Dar es Salaam. Licha ya Serikali kutangaza kuwa itafanyia kazi malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, ikiwemo kusitisha kamatakamata iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baadhi ya wafanyabiashara wamesema Rais Samia Suluhu Hassan ndiye anapaswa kutoa tangazo hilo..  Wamesema kauli ya Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo haiwezi kuwafanya wafungue maduka,  huku…

Read More

RC PWANI AHIMIZA MAENDELEO ZAIDI MJI WA KIBAHA

  Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge akizungumza  kwenye kikao hicho Baadhi ya Madiwani  walishiriki kwenye kikao hicho. Mwenyekiti  wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mussa Ndomba  akifafanua jambo. Na Khadija Kalili , Michuzi Tv MKUU wa Mkoa wa Pwani Alhaji Abubakari Kunenge ametoa wito kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha kutobweteka na hati…

Read More

MBUNGE MTATURU ASISITIZA MAMBO MANNE KWA SERIKALI

  MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amechangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023 huku akiainisha maeneo manne ya msisitizo kwa serikali ili kuweza kuongeza mapato kupitia sekta ya biashara. Akichangia Juni 24,2024, Bungeni Jijini Dodoma Mtaturu ametaja eneo la…

Read More

Mpina afungiwa vikao 15 vya Bunge hadi Novemba

  BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeazimia kumfungia vikao 15 Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) kwa kudharau mamlaka ya Spika na mwenendo wa Shughuli za Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu (endelea.) Hatua hiyo imekuja baada ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kupitia kwa Mwenyekiti wake, Ally Juma Makoa kumkuta na…

Read More

CCM, Ikulu Zanzibar waikana kauli ya Dk Dimwa

Dar es Salaam. Hapana. Ndivyo unavyoweza kutafsiri karibu kila mchango wa mdau wa siasa aliyezungumza na Mwananchi kuhusu  kauli ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Dimwa, aliyetaka Rais Hussein Mwinyi aongezewe muda wa kukaa madarakani kutoka miaka mitano hadi saba. Msingi wa kauli hiyo ya Dimwa ni kile alichoeleza…

Read More