Wadau waitwa kuwekeza sekta ya mifugo Tanzania
Dar es Salaam. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewaita wadau kuwekeza katika sekta za malisho, chanjo, maji ya mifugo na majosho, ili kuleta matokeo chanya katika sekta hiyo. Ulega ametoa wito huo leo Jumatatu Juni 24, 2024 katika uzinduzi wa taarifa ya 21 ya uchumi wa Tanzania iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB),…