Wanafunzi elimu ya juu watakiwa kutafuta fursa wakiwa vyuoni
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mratibu kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amewaasa wanafunzi wa vyuo kutafuta fursa wakiwa bado chuoni ili kuwarahishia njia pale wanapohitimu masomo yao. Ametoa kauli hiyo Juni 22,2024 katika mkutano mkuu wa Asasi ya Haki za Binadamu Chuo Kikuu cha Dar es…