NIA OVU YA KUMCHONGANISHA KIDATA NA MAMLAKA YA UTEUZI

Inatajwa kuwa tuhuma zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata ni za kughushi, na zinazolenga kumchonganisha kiongozi huyo na mamlaka ya uteuzi ili aondolewe kwenye nafasi hiyo, na kutoa mianya kwa ‘genge’ la wakwepa kodi, wala rushwa na wote wasiolitakia mema Taifa ‘kuchomeka’ mtu wao Tumekuwa…

Read More

Mara inavyotisha Taifa Cup | Mwanaspoti

TIMU ya kikapu ya wanawake ya Mkoa wa Mara inaendelea kutisha katika mashindano ya Kombe la Taifa baada ya kuifunga Arusha jana jioni kwa pointi 63-59 katika Uwanja wa Chinangali mjini Dodoma. Ushindi wa timu hiyo ni wanne mfululizo kwani katika mchezo wa kwanza iliifunga Iringa kwa pointi 69-43, Dodoma 49-42, Mbeya 64-39 na Arusha…

Read More

MRADI WA LTIP KUMALIZA CHANGAMOTO ZA MAKAZI HOLELA KONDOA

Meneja Urasimishaji Mjini Bw. Leons Mwenda akitoa taarifa fupi ya mradi katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi Halmashauri ya Mji wa Kondoa tarehe 24 Juni 2024 Mkoani Dodoma. Wadau wa Sekta ya Ardhi katika Halmashauri ya Mji wa Kondoa waliohudhuria Mkutano wa Wadau kujadili utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi tarehe…

Read More

Matumizi ya akaunti moja Bara, Zanzibar yanukia

Dodoma. Bunge limeelezwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, zinaendelea na majadiliano kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa kudumu wa kuchangia matumizi na kugawana mapato ya Muungano. Naibu Waziri wa Fedha, Hamad  Hassan Chande leo Jumatatu Juni 26, 2024 wakati akijibu swali la msingi la Mbunge…

Read More

MBUNGE KABUDI AIOMBA SERIKALI KUWEKEZA KIUCHUMI MKOANI MOROGORO

Na Janeth Raphael MichuziTv – Bungeni Dodoma Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi ameishauri Serikali kuwekeza katika Mkoa wa Morogoro ambao unaweza kusukuma uchumi wa Nchi kwa kuwekeza katika nishati ya maji katika Mabwawa yote Matatu ya Kihansi, Kidatu na Bwawa la Mwalimu Nyerere. Mbunge huyo ametoa kauli hiyo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia hoja…

Read More

NJE YA UWANJA: Yanga, Simba zinabebwa na haya

Soka la Tanzania kwa upande wa klabu limetawaliwa zaidi na timu za Simba na Yanga. Hilo lipo wazi kwani hata ukiangalia listi ya mabingwa wa Ligi Kuu utapata jibu lisilokuwa na shaka ndani yake. Tangu mwaka 1965 ilipoanza ligi hiyo, Yanga na Simba ndiyo timu zinazoongoza kwa kubeba ubingwa mara nyingi Zaidi. Yanga ikiwa kinara…

Read More

Netanyahu asema hatokubali mpango unaokomesha vita Gaza – DW – 24.06.2024

Katika mahojiano yaliyotangazwa Jumapili jioni kupitia kituo cha utangazaji cha Channel 14, kituo cha kihafidhina, kinachomuunga mkono Netanyahu, kiongozi huyo wa Israel alisema amejitayarisha kufanya makubaliano ya sehemu ambayo yatasaidia kurudisha baadhi ya mateka wapatao 120 wanaoendelea kushikiliwa katika Ukanda wa Gaza. ”Iwapo kutakuwa na makubaliano, yatakuwa makubaliano yanayofuata masharti yetu, na masharti yetu siyo…

Read More

Mbunge alia michezo ya kamari kuathiri vijana

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Asia Halamga amesema kuna changamoto kubwa ya uchezaji wa kamari katika makazi ya watu na imekuwa ikiathiri zaidi vijana. “Ni upi mpango wa Serikali wa kuweka sheria kali zaidi, ili kuwabana wachezaji na kuweza kuzuia athari ambazo wanapata vijana, lakini pia na wananchi wengine kwenye makazi na kulijenga Taifa…

Read More

Sababu saba mtifuano wa Simba, Coastal

Dar es Salaam. Klabu mbili kongwe hapa nchini, Simba SC ya Dar es Salaam na Coastal Union ya Tanga, zimeingia kwenye mgogoro mkubwa juu ya uhamisho wa beki kisiki chipukizi, Lameck Lawi. Simba iliitaka huduma ya beki huyo wa Coastal Union na kufuata taratibu zote, wakakubaliwa. Ikatakiwa ilipe kiasi fulani cha fedha kama ada ya…

Read More