Bendera ya Taifa yapeperushwa vema Nchini Rwanda.

Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki “FTX Ushirikiano Imara 2024” lililofanyika nchini Rwanda, kimekabidhi bendera ya taifa mara baada ya…

Read More

Chalamila achimba mkwara mzito Kariakoo, aapa kuwaonesha ‘show’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewathibitishia wafanyabiashara waliofungua maduka leo Jumatatu licha ya kuwepo kwa mgomo kwa baadhi yao, kwamba atakayejaribu kuwafanyia vurugu atamuonesha ‘show’. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). “Yule atakayemletea mkwara aliyekubali kufungua, naapa mbele ya Mwenyezi Mungu, hapo ndipo nitakapoonyesha ‘show’ nzima. Kwa sababu mtu anakubali kufungua na…

Read More

Rekodi za mita 100 wanawake Olimpiki

Paris, Ufaransa. Mashindano ya Olimpiki yanatarajiwa kuanza Julai 26 mwaka huu kwenye jiji la Paris nchini Ufaransa. Haya ni mashindano makubwa na yenye heshima kubwa kwa miaka mingi na mwaka huu wanamichezo mbalimbali wanayasubiri kwa hamu kubwa sana. Pamoja na mashindano mengine, lakini riadha ni kati ya yale ambayo yamekuwa yakiwavutia watu wengi zaidi kwa…

Read More

Serikali Yajipanga Kuibua, Kukuza Vipaji

Serikali Mkoani Morogoro imesema Serikali imejipanga kuibua na kukuza vipaji vya vijana na wananchi Mkoani humo hususan katika michezo ikiwemo Riadha, Gofu na Mpira wa Miguu kwa manufaa ya wanamorogoro na taifa kwa ujumla. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Ali Malima wakati akifunga mashindano ya siku ya Olimpiki –…

Read More

120 kuliamsha Lugalo Open 2024

Wachezaji zaidi ya 120 wa gofu wanatarajia kushiriki katika mashindano ya wazi ya ‘Vodacom Lugalo Open 2024’. Mashindano hayo, yalioandaliwa na klabu ya Lugalo yatafanyika kwenye viwanja vya klabu hiyo kati ya Julai 5-7. Mwenyekiti wa klabu ya Lugalo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Michael Luwongo aliliambia Mwanaspoti, klabu zote za hapa nchini zimealikwa pamoja na wachezaji…

Read More

RC Chalamila apiga ‘biti’ mgomo Kariakoo

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wafanyabishara waliofungua maduka yao leo Jumatatu Juni 24, 2024, licha ya kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wafanyabishara, atalinda biashara zao na hawatafanyiwa vurugu. RC Chalamila amesema atakayejaribu kuwafanyia vurugu wafanyabiashara waliofunga maduka yao, atashughulika naye. “Nataka niwathibitishie yule atakayemletea mkwara aliyekubali…

Read More