Wajane walia na Mila potofu za kuwakandamiza
Mkuu wa mkoa Morogoro Adam Malima amesema serikali itaendelea kulinda na kutetea haki za wajane Ili waendele kulea familia zao. Rc Malima ameyasema hayo Mjini Morogoro kwenye maadhimisho ya Siku ya wajane Duniani ambapo kitaifa yameadhimishwa Mkoani Morogoro ambapo amesema kumekua na tabia ya baadhi ya watu kuchukua Mali pamoja na kuwafukuza wanawake kinguvu baada…