Urais wa Dk Mwinyi Zanzibar waibua mjadala
Unguja. Uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kutangaza dhamira ya kumuongezea muda Rais Hussein Ali Mwinyi wa kuongoza kutoka miaka mitano hadi saba, umewaibua wadau wakipinga hatua hiyo, huku wakiihusisha hatua hiyo na kile walichokiita nia ovu ya kuvunja Katiba na kukiuka misingi ya demokrasia. Wadau hao wakiwemo wanazuoni wa sayansi ya siasa, wamekwenda…