Rais wa Kenya asema yuko tayari kuzungumza na Gen-Z – DW – 23.06.2024

Maandamano hayo yaliandaliwa kwenye mitandao ya kijamii na kwa kushiriki maandamano hayo mabarabarani na vijana Wakenya wengi wenye umri mdogo maarufu kama ‘Gen-Z’ ambao wamekuwa wakipeperusha maandamano hayo moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii. Serikali ya Ruto imejikuta katika hali ya kuduwaa huku vijana hao wakiendelea kushinikiza kutoridhika kwao kuhusu sera za kiuchumi za…

Read More

Mfahamu Askofu Pisa, Rais mpya wa TEC

Dar es Salaam. Kanisa Katoliki Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu (TEC) limetangaza viongozi wake wapya, huku nafasi ya urais ikichukuliwa na Askofu Wolfgang Pisa wa Jimbo la Lindi. Viongozi  hao waliotangazwa jana Jumamosi Juni 22, 2024, mbali na Askofu Pisa, wengine waliochaguliwa ni Makamu wa Rais, Askofu Eusebius Nzigilwa (Jimbo Katoliki Mpanda), Katibu Mkuu, Padri…

Read More

Prisons Queens matumaini kibao Ligi ya Mabingwa

TANZANIA Prisons Queens imesema mechi mbili zilizobaki katika ligi ya mabingwa wa Mikoa kwa soka la Wanawake wanahitaji ushindi tu ili kujihakikishia kupanda daraja. Ligi hiyo ambayo inafanyika jijini Dodoma, Maafande hao katika mechi mbili walizocheza wameshinda mmoja dhidi ya Zabibu Queens 2-1 na kupoteza 3-1 kwa Katoro Queens na kuwa nafasi ya pili. “Mechi…

Read More

Dar, Pwani zakosa maji kwa saa 48

Dar es Salaam. Wakati wakazi jijini hapa na Pwani wakieleza maumivu wanayopitia kwa kukosa maji kwa zaidi ya saa 48, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) imesema tatizo limekwisha na huduma imerejea tangu saa tatu asubuhi leo Jumapili, Juni 23, 2024. Katika maeneo mengi ya Dar es Salaam na…

Read More

WAZAZI WASHAURIWA KUWAPELEKA HOSPITALI WATOTO WENYE ULEMAVU

Aisha Juma alijifungua mtoto akiwa na uvimbe shingoni, kadri mtoto alivyokua anakua, ndipo uvimbe ule uliendelea kuongezeka, awali hawakujua chanzo cha tatizo na kwamba walidhani ni ulemavu kama walivyo watoto wengine wenye ulemavu. Licha ya kuangaika huku na huko jamii ilimuona kama mtoto mwenye ulemavu na kwamba hawezi kupona hata akifanyiwa matibabu. Lakini cha ajabu…

Read More

Dereva aliyekufa ajalini na RAS Kilimanjaro kuzikwa kesho

Moshi. Dereva wa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Alphonce Edson (54), anatarajiwa kuzikwa kesho Jumatatu, Juni 24, 2024, nyumbani kwake,  Kata ya Kahe Magharibi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Edson na aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa (RAS) wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda (56) aliyezikwa jana, mkoani Songwe, walifariki dunia kwa ajali ya gari ilitokea Juni…

Read More

Huko City kumekucha, wenye vipaji waitwa

SIKU chache baada ya kufunguliwa dirisha la usajili, Mbeya City imewaita vijana na wachezaji wenye kipaji na nia ya kitumikia timu hiyo kujitokeza kwenye majaribio ‘trial’ kwa ajili ya msimu ujao. Mbeya City iliyoshuka daraja msimu wa 2022/23 kupitia play off ilipofungwa kwa jumla ya mabao 3-1 dhidi ya Mashujaa, inajiandaa na Championship msimu ujao…

Read More