SERIKALI- ZOEZI LA UHAMAJI NGORONGORO LINALENGA KUWAPA WATU MAISHA BORA
Na Sixmund Begashe SERIKALI imesema zoezi linaloendelea la kuhama kwa hiari kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro linalenga kuimarisha uhifadhi na kuboresha maisha ya watu. Hayo yamesemwa mkoani Iringa na Msemaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii, John Mapepele wakati akiongea na waandishi wa habari ambao walitembelea kujionea ujenzi unaoendelea wa kituo cha kutangaza utalii…