Waratibu maandamano kupinga biashara ya ‘makahaba’ Dar
Dar es Salaam. Uongozi wa Kampeni ya Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii (SMAUJATA) umesema hatua ya kukamatwa wanawake wanaodaiwa kuuza miili yao ‘makahaba’ katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, ni njia mojawapo ya kukabiliana na mmomonyoko wa maadili nchini. Ili kuunga mkono oparesheni hiyo, SMAUJATA imesema inaratibu maandamano ya kupinga…