SOS yazikutanisha nchi nane kujadili hatma ya watoto
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wadau kutoka mataifa manane ya Afrika wanakutana jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kutafuta njia za kuwasaidia watoto wanaolelewa katika vituo vya malezi mbadala kumudu maisha wanapotoka kwenye vituo hivyo. Mshiriki kutoka Zambia katika Mkutano Maalumu ulioandaliwa na Kijiji cha Watoto cha SOS, Clare Chilambo akizungumza na wanahabari wakati…