Rais Samia aondoa wengine wawili Ikulu
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, kwa mara nyingine akiigusa ofisi yake. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka leo Juni 22, 2024, Rais Samia amewapangia kazi nyingine watumishi wawili waliokuwa maofisa waandamizi, Ofisi ya Rais Ikulu. Katika taarifa hiyo…