Luvanga apata dili za Marekani
NYOTA wa kimataifa, Clara Luvanga anayekipiga Al Nassr ya Saudia huenda msimu ujao akaibukia Marekani baada ya kuanza mazungumzo na moja ya timu za nchini humo. Ikumbukwe Clara msimu uliopita, Nassr inayomiliki pia timu ya Ligi Kuu ya Saudia kwa wanaume anayoichezea Cristiano Ronaldo ilivunja mkataba wa straika huyo na Dux Lugrono ya Hispania ikiwa…