Waziri ataka Serikali, sekta binafsi kuchangamkia fursa za uchumi wa buluu
Bagamoyo. Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed amesema jitihada za makusudi zinapaswa kufanywa ili kuziendeleza fursa mbalimbali za uchumi wa buluu ambao haujaangaziwa. Amesema Serikali zote mbili za Tanzania Zanzibar, zinapaswa kuzichangamkia kwa kushirikiana na sekta binafsi ili kuchochea maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Dk Khalid amesema…