TBS Kanda ya Magharibi Kigoma yateketeza bidhaa hafifu
Na Mwandishi Wetu, Kigoma BIDHAA za aina mbalimbali zenye thamani zaidi ya sh.milioni 34 zimeteketezwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Magharibi Kigoma baada ya kukamatwa kupitia ukaguzi uliofanywa na maofisa wa TBS kwa kipindi cha kati Julai 2023 hadi Mei 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jana mkoani Kigoma wakati wa kuteketeza…