Jokate awananga vijana wabebao mabegi ya wagombea
Iringa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Jokate Mwegelo amewataka vijana kutotumika vibaya kubeba mabegi ya watu wanaotaka kugombea katika nafasi mbalimbali, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi mkuu hapo mwakani. Amesema badala ya kutumika vibaya, vijana hao wanapaswa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali na kwamba wapo tayari…