Polisi Morogoro wafanya ukaguzi magari ya shule
Jeshi la Polisi mkoa Morogoro limewataka wamiliki wa Magari yanayobeba wanafunzi (School Bus) katika kipindi hiki cha likizo kuhakikisha magari hayo kuwa ni mazima kwaajili ya matumizi ya wanafunzi mara tuu shule zitakapo funguliwa. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ASP) Pascal Mwakabungu akiwa na…