Hizi hapa mbinu za biashara mazao ya uvuvi

Dar es Salaam. Wajasiriamali 30 wa mazao ya uvuvi wakiwemo wachakataji na wauzaji wanapewa mbinu za kuboresha mazao ya uvuvi ili kupata masoko ya uhakika, ikiwa pamoja na udhibiti wa hatari za biashara, usafi na usalama wa chakula. Mbinu nyingine ni pamoja na haki miliki na usajili wa jina la biashara, uundaji na usimamizi wa…

Read More

Mjadala wa bajeti 2024/2025: Sindano za moto zinazosubiri majibu

Dodoma. Wakati mjadala wa mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Sh49.35 trilioni kwa mwaka wa fedha 2024/2025 ukielekea mwishoni, hoja kadhaa ndio zimeongeza joto la kuilazimu Serikali kujipanga kikamilifu kuzijibu. Hoja hizo zinaiweka Serikali kwenye kitanzi mbele ya watanzania kuona kama itasikiliza ushauri wa wabunge na kuziondoa kwa kuwa, zimelalamikiwa kuwa zinakwenda kuongeza makali ya maisha….

Read More

Waziri wa maliasili na utalii asisitiza uwepo wa ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkakati wa Kuong’oa Ardhi na Misitu iliyoharibiwa takribani Hekta milioni 100 Barani Afrika (African Forest Restoration Initiatives – AFR100), kuweka mifumo ya ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki kuhakikisha lengo la kuong’oa misitu hiyo linafikiwa kwa kuona uhalisia wa utekelezaji wa…

Read More

SERIKALI YAONDOA HOFU YA UMEME KUTOFIKA VITONGOJI VYOTE NCHINI

Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Mhe. Edwin Swale kuhusu mpango wa Serikali kupeleka umeme wa REA kwenye Vitongoji, Mhe. Kapinga amesema Jimbo la Lupembe lina vitongoji 227 ambapo vitongoji 118 vimekwishapatiwa umeme na vitongoji 109 vilivyobaki Serikali pia itavipelekea umeme. Ameongeza kuwa, vitongoji 19 kati ya hivyo vitapatiwa umeme kupitia mradi wa…

Read More