Vijiji 16 kunufaika biashara ya kaboni Arusha

Arusha. Wananchi katika vijiji 16 vilivyopo Wilaya ya Longido mkoani Arusha wanatarajiwa kupata Sh33 bilioni kila mwaka kupitia utekelezaji wa mradi wa uvunaji kaboni. Mradi huo unahusisha kudumisha hatua za uhifadhi wa hekta milioni 2.4 hadi tani milioni 1.9 zenye thamani ya Dola za Marekani 12.7 milioni, sawa na Sh33 bilioni. Hayo yamebainika Juni 20,…

Read More

MRAJIS AZINDUA MFUMO WA TEHAMA WA SCCULT (1992) LTD

  MRAJIS wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege,akipiga makofi mara baada ya kuzindua Mfumo wa Tehama wa Sccult (1992) LTD kwa ajili ya Uendeshaji na Utoaji Huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) hafla iliyofanyika leo Juni 21,2024 jijini Dodoma. MRAJIS wa…

Read More

Viongozi pelekeni taarifa sahihi kwa wananchi.

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. Beno Malisa amewaagiza viongozi katika Wilaya hiyo kutoa elimu sahihi kwa wananchi juu ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) unaotekelezwa chini ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Malisa ameyasema hayo tarehe 20 Juni 2024 wakati wa ufunguzi wa kikao cha…

Read More

Majaliwa aeleza alivyofanya kazi na Nzunda

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda aliyefariki dunia kwa ajali ya gari Juni 18, 2024. Nzunda (56) na dereva wake, Alphonce Edson (54) walipata ajali ya gari iliyotokea saa 8.30 mchana eneo la Njiapanda ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa…

Read More

HADITHI: Zindiko (sehemu ya 2)

LAKINI ukweli ni kwamba kijiji kilikuwa salama kwa sababu kila ambaye hakufika hapo alikuwa anaendelea na maisha yake. Lakini wapo watu wachache ambao kwa sababu zao walijaribu kuruka uzio kwa lengo la kulifikia jumba kwa malengo mbalimbali, waliishia kwenye kinywa cha joka hilo lililokuwa na kasi na nguvu za ajabu sana. Zamani wakati tukio hili…

Read More