Nani wakulaumiwa vifo vya Mahujaji huko Makka? – DW – 21.06.2024
Mamia ya mahujaji wamekufa nchini Saudi Arabia wakati wa kuhiji yumkini kutokana na joto kali. Picha za kushtusha zimeonekana kwenye mitandao ya kijamii zinazoonesha watu kandoni mwa barabara na za watu waliozirai kwenye viti vya magurudumu. Baadhi ya maiti pia zilionekana kwenye picha hizo. Wahudumu wa afya wamembeba muhujaji baada ya kuanguka kutokana na joto…