DKT.NDIEGE AZINDUA MFUMO WA TEHAMA WA SCCULT (1992) LTD

MRAJIS  wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Tehama wa Sccult (1992) LTD kwa ajili ya Uendeshaji na Utoaji Huduma za Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS) hafla iliyofanyika leo Juni 21,2024 jijini Dodoma. MRAJIS  wa Vyama vya…

Read More

REGROW yaudhibiti mto mambi na kurejesha furaha kwa wananchi

Jitihada zilizofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Kukuza Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) za kufukua Mto Mambi zimerejesha furaha kwa wakazi wa Kijiji cha Chamoto na Uhambule ambapo wameondokana na athari ya nyumba zao kusombwa na maji na mazao yao kuathiriwa. Afisa Mtendaji Kijiji cha Chamoto…

Read More

Wanne wapoteza maisha ajali ya Noah Singida

Singida. Watu wanne wamepoteza maisha na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu katika Kijiji cha Nkwae mkoani Singida. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Amon Kakwale amesema leo Juni 21, 2024 kuwai chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa Noah aliyeshindwa kulimudu gari lake akiwa katika mwendokasi. Kamanda Kakwale amesema miongoni…

Read More

Pamba Jiji yaonywa mapema Ligi Kuu Bara

MAANDALIZI ya Pamba Jiji kwa ajili ya Ligi Kuu msimu ujao wa mwaka 2024/2025 yanazidi kushika kasi, huku mastaa wa zamani na makocha wakiionya kufanya usajili wa kukurupuka utakaoisababisha kushuka daraja msimu wake wa kwanza. Timu hiyo ya jijini hapa tayari imeachana na benchi la ufundi chini ya Mbwana Makatta na Renatus Shija walioipandisha daraja…

Read More

Doyo, Itutu kuchuana kurithi mikoba ya Hamad ADC

Dar es Salaam. Doyo Hassan Doyo na Shabani Haji Itutu, ndio wagombea waliojitokeza kuwania uenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) katika uchaguzi utakaofanyika Juni 29, 2024 kwenye Ukumbi wa Lamada, wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam. Wagombea hao wa ADC, moja ya vyama vya upinzani nchini wanachuana kurithi mikoba ya Hamad Rashid…

Read More

Wanyeche avunjwa ukimya, aitaja Lugalo

MSHINDI wa mashindano ya Gofu ya Alliance, yaliyofanyika wikiendi iliyopita mjini Morogoro, Enoshi Wanyeche ameweka wazi yeye ni mchezaji wa klabu ya Gofu ya Lugalo na sio Kili Golf ya Arusha kama alivyoripotiwa katika matoleo mawili ya gazeti hili. Akizungumza na Mwanaspoti jana asubuhi, nyota huyo alisema ni kweli amekuwa akifanya mazoezi na kuwepo mara…

Read More

Baba adaiwa kumbaka maharimu wake mwenye miaka mitano

Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita limewakamata watuhumiwa 755 wa makosa mbalimbali ya kihalifu akiwemo Msauz Bakari (34), mchimbaji wa madini katika Kijiji cha Uyovu kilichopo wilayani Bukombe anayetuhumiwa kuzini na maharimu wake mwenye umri wa miaka mitano. Katika taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi mkoa wa Geita inaeleza Juni 16, 2024 saa 4:30 usiku…

Read More