Serikali yaahidi kushirikiana na Prof. Ndakidemi kuhamasisha zao la kahawa
Serikali imeahidi kuungana na Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi (CCM), wakulima kutumia njia mbadala ya matumizi ya madawa kwenye uzalishaji wa kahawa ikiwa pamoja na kupanda miche chotara ambayo inazalishwa na kusambazwa bure na Bodi ya Kahawa Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania (TaCRI). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)….