Mchenga Stars yaona mwezi | Mwanaspoti
TIMU ya mpira ya kikapu ya Mchenga Stars iliifunga UDSM Outsiders kwa pointi 70-60, katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Spide. Mchezo huo uliandaliwa na timu hizo kwa lengo la kuandaa timu zao katika mzunguko wa pili wa ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salaam (BDL) Julai 6. Baada ya mchezo kumalizika…