USHAHIDI WA CRC WAGONGA MWAMBA KESI NDOGO

*Ni wa nyaraka za miamala ya Benki kutoingizwa katika ushahidi katika kesi dhidi Equity na CRC Na Chalila Kibuda,Michuzi Tv Mahakama Kuu Division ya Biashara imetoa hukumu ndogo ya nyaraka za miamala ya Benki zilizowasilishwa na Shahidi ya wa pili Elexender Gombanila za kutoingizwa katika vielelezo vya ushahidi katika kesi ya Equity na CRC ….

Read More

Sababu kupugua uzalishaji karafuu, nazi zatajwa

Unguja. Uzalishaji wa karafuu umepungua kutoka tani 4,734.1 mwaka 2022 hadi kufikia tani 2,654.7 mwaka 2023 sawa na upungufu wa asilimia 43.9 Pia uzalishaji wa nazi umeshuka kutoka nazi milioni 119.747 mwaka 2022 hadi nazi milioni 79.807 mwaka 2023. Hayo yamebainishwa leo Juni 20, 2024 na Waziri wa Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo,  Shamata Shaame Khamis…

Read More

Mahakimu watatu wanavyopambana kudai haki kortini

Dodoma. Mahakama Kuu, imewapa kibali, mahakimu watatu wa zamani wa mhimili huo, ili wafungue maombi ya kuomba kurejewa kwa uamuzi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama wa kuwafuta kazi na hatimaye kubatilisha uamuzi huo. Uamuzi wa kuwaruhusu mahakimu hao wa zamani kufungua maombi hayo, ulitolewa Juni 18, 2024 na Jaji Fredrick Manyanda wa Mahakama Kuu…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Luhende awaniwa Dodoma Jiji  

KAMA ulikuwa unadhani beki mkongwe wa Kagera Sugar, David Luhende anajiandaa kutundika daluga pole yako, kwani kwa sasa jamaa ameingia kwenye anga la Dodoma Jiji inayomtaka kumsajili. Uongozi wa Dodoma Jiji, umedaiwa kuanza mazungumzo na beki huyo wa zamani wa Yanga ili aitumikie kwa msimu ujao. Luhende aliyewahi kukipiga Mwadui, Mtibwa Sugar na Yanga, amemaliza…

Read More

AfCFTA kuongeza mauzo ya nje na kuboresha uwiano wa biashara

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah amesema utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara Afrika (AfCFTA) katika kuondoa vikwazo visivyokuwa vya kiushuru na kufungamanisha Sera za Biashara kutachangia kuongeza mauzo ya nje, kuboresha uwiano wa biashara, kupatikana kwa soko la bidhaa za Tanzania nje ya Nchi na kukuza biashara na…

Read More

Tanzania yatangaza mkakati wa kuwalinda watu wenye ualbino – DW – 20.06.2024

Tamko hilo limetolewa kufuatia mauaji ya hivi karibuni ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novart ambaye mwili wake uliokotwa mkoani Kagera huku baadhi ya viungo vyake vikiwa vimenyofolewa. Hayo yanajiri wakati ambapo jeshi la polisi nchini humo likitangaza kuwa limewakamata watu tisa wanaotuhumiwa kwa mauji ya mtoto huyo.  Akizungumza bungeni mjini Dodoma, Waziri Mkuu wa Tanzania,…

Read More

Chalamila amkingia kifua DC ukamataji ‘makahaba’

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amemkingia kifua mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko juu ya mijadala inayoendelea ikikosoa operesheni aliyoifanya ya ukamataji ‘Dada Poa’, huku akisema haikuingilia faragha ya watu. Mijadala hiyo iliibuka baada ya kuwapo kwa video mbalimbali ambazo zilionyesha namna operesheni hiyo ilivyokuwa…

Read More