Hawa ndio wakali wa kutupia pointi 3
UKITAKA kuwabana mafundi wa kufunga mitupo ya pointi tatu (three pointer) ili wasifunge, inakupasa ucheze nao kwa karibu muda wote wa mchezo. Kucheza naye kwa karibu kutawafanya wachezaji hao washindwe kurusha mpira katika maeneo yao ya mitupo ya pointi tatu-tatu. Kitakachotokea baada ya kubanwa, watupiaji hao wataishia kulalamika kuwa wanatendewa madhambi. Tukio hilo la kubanwa…