WANANCHI WA TABORA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MASOKO YA MITAJI
NA: JOSEPHINE MAJULA, WF, TABORA Katibu Tawala Mkoa wa Tabora, Dkt. John Mboya amewataka Viongozi, Watumishi na Wananchi mkoani humo kuchangamkia fursa za uwekezaji katika Masoko ya Mitaji kwenye Taasisi rasmi zilizopewa dhamana na Serikali kufanya shughuli za uwekezaji kisheria ili kuweza kupata faida na kujikwamua kiuchumi. Dkt.Mboya, alitoa rai hiyo alipokutana na Timu ya…