BRELA YAWEKA WAZI VIWANGO VYA ADA USAJILI WA KAMPUNI
WAKALA wa wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA) wamezitaja ada za usajili wa kampuni mpya ambapo gharama zake zinaanzia Sh.20,000, Sh.1000,000, Sh.5,000,000,Sh.20,000,000 mpaka Sh.50,000,000 na kwamba viwango hivyo ni kutokana na mtaji wa kampuni husika na kwa usajili wa kampuni za kigeni gharama za usajili ni Dola za Marekani 1,190,Filing fee ni Sh.66,000 na Stamp…