DC MAGOTI ACHAPA KAZI KWA VITENDO, ATEMBELEA MRADI WA UWEKEZAJI WA VISEGESE KISARAWE
NA VICTOR MASANGU,KISARAWE Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mhe.Petro Magoti amefanya kikao kazi na wataalam wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyi pamoja na Kamati ya Usalama Wilaya kwa ajili ya kujadili maendeleo ya Mradi wa viwanja vya Uwekezaji wa Viwanda. Mkuu wa Wilaya hiyo pia katika kikao hicho ameweza kuongozana na Viongozi…