TETESI ZA USAJILI BONGO: Simba yawakatili Wamisiri kwa Malone
MABOSI wa Simba wameshtuka baada ya kubaini ukuta wa Yeriko unataka kubomolewa na Waarabu kwa kugoma Fondoh Che Malone kuondoka klabu baada ya Future Fc ya Misri kumtaka beki huyo wa kati kutoka Cameroon. Inaelezwa kuwa Malone aliyekuwa akiunda ukuta wa Simba sambamba Henock Inonga, hana furaha Msimbazi na anatakiwa na Wamisri, lakini mabosi wa…