Wilder, Fury waporomoka WBC | Mwanaspoti
BONDIA wa ngumi za uzito duniani (Heavy Weight), Deontay Wilder ameporomoka kwenye viwango vya ubora kwenye mchezo huo, huku Tyson Fury akimpisha Oleksandr Usyk namba moja. Wilder ambaye anasubiriwa kutoa kauli juu ya hatma yake kwenye mchezo huo baada ya kuchapwa kwa Knockout ‘KO’ mara mbili mfululizo na mambondia Joseph Parker na Zhilei Zhang, ametupwa…