Netanyahu aishutumu Marekani kwa kuzuia msaada wa silaha – DW – 19.06.2024
Kwenye taarifa ya vidio iliyochapishwa Jumanne Netanyahu alisema hatua hiyo ilikuwa inapunguza kasi ya mashambulizi yake katika mji wa Rafah ulioko Kusini mwa Gaza. Amesema hayo, wakati Umoja wa Mataifa ukiishutumu Israel kwa kukiuka mara kwa mara sheria za kimataifa kwenye vita hivyo baada ya kushindwa kutofautisha wapiganaji na raia. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema jana kwamba…