Mahakama kumaliza ubishi nyaraka ya malipo ya mkopo wa Sh26 bilioni Equity
Dar es Salaam. Hatima ya uhalali wa nyaraka iliyopingwa katika kesi ya kibiashara iliyofunguliwa na kampuni ya Continental Reliable Clearing (T) Limited (CRC) dhidi ya Benki za Equity Tanzania na Equity Kenya, itajulikana leo, Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara itakapotoa uamuzi wa pingamizi hilo. Kampuni hiyo ilifungua kesi hiyo baada ya Benki ya Equity Kenya…