KONA YA FYATU MFYATUZI: Hii kaya sasa ya sanii, kila kitu sanii, sanaa
Siku hiji kaya yetu nageuka kaya ya sanii. Kila kitu ni sanii. Rahis nafanya sanii. Wajiri nafanya sanii. Narudia neno nasema bungeni iliyopita. Natuma kampuni hewa. Nasamehe kodi. Kodi naingia fukoni yake. Sirkal nafanya sanii. Nakwenda bungeni. Nalialia na chovu naona yeye zalendo. Kama Pina nachambua yeye, naona fisadi kuba. Napoteza kodi. Nakwenda omba ghaibuni…