Mchezaji wa zamani wa EPL Balotelli anaanza mchezo mpya huku akimtaja bingwa wa zamani wa UFC.

Mario Balotelli ameelekeza mkono wake kwa Muay Thai… na kumwita gwiji wa UFC Israel Adesanya. Mshambulizi huyo wa Kiitaliano, 33, ametumia msimu huu nchini Uturuki akiichezea Adana Demirspor.Alifunga mabao saba katika mechi 16 alizoichezea klabu hiyo wakati wa kampeni ambayo ilimfanya kukosa miezi miwili kutokana na jeraha la goti. Sasa anafurahia muda kidogo wakati michuano…

Read More

Serikali yabanwa utekelezaji mkakati wa kupunguza matumizi

Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeitaka Serikali kutekeleza mkakati wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima baada uchambuzi wake kubaini hautekelezwi ipasavyo. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Oran Njeza amesema hayo leo Jumanne Juni 18, 2024 alipotoa maoni ya kamati kuhusu tathimini ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023, Mpango wa Maendeleo…

Read More

Tanzania yazindua Ujenzi wa Majengo pacha Nairobi

Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ujenzi wa majengo pacha jijini Nairobi, Kenya yatakayotumika kama ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini humo na kitega uchumi ambapo hafla hiyo imehudhuriwa na Waziri Mkuu wa Kenya, Musalia Mudavadi.   Ujenzi huo utafadhiliwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF na kujengwa katika eneo la kibiashara katikati ya…

Read More

CTI yasema bajeti kuu itachochea ukuaji wa viwanda

Mkurugenzi wa Shirikisho la Wenye Viwanda (CTI), Leodegar Tenga akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu maoni ya wenye viwanda kuhusu bajeti kuu ya serikali. Kulia ni Mkurugenzi wa Sera, Akida Mnyenyelwa na kushoto ni Mtaalamu wa Sera za Viwanda Isack Msungu Na Mwandishi WetuSHIRIKISHO la Wenye Viwanda (CTI), limesema kuanzishwa…

Read More

Ndoto ya fundi viatu kumiliki shule

Iringa. Hakika maisha ni safari ndefu, ulivyo leo sivyo utakavyokuwa kesho na jambo la muhimu ni kutokata tamaa, huku ukisimamia ndoto zako. Tangu akiwa na umri wa miaka 20, Daniel Mbwilo aliamini ipo siku atamiliki shule kuanzia chekechea mpaka kidato cha sita na baadaye chuo. Ndoto hii aliiota wakati akiendelea na kazi yake ya kushona…

Read More