Kigamboni bado wana kiu ya maji ‘matamu’
Dar es Salaam. Wakati Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) ikisema imefikisha maji eneo la Kigamboni, baadhi ya wananchi wamesema maji hayo hayafai kunywa, kwa kuwa yana chumvi. Hata hivyo, Dawasa imesema ladha ya maji inategemea miamba yanakopatikana, lakini maji ya Kigamboni yamepimwa na yana viwango vinavyokubalika. Kwa mujibu wa…