RAIS SAMIA I LOVE YOU HALAFU NAKUPENDA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV  KUNA mambo lazima tuzungumze japo kwa lugha yoyote ambayo unaweza kuitumia lakini ikasaidia kufikisha ujumbe kwa uliowakusudia na hasa Watanzania wenzangu. Leo kuna jambo nataka kulisema,kulizungumza,kuna jambo nataka kulisimulia.Nikuombe kama uko tayari usome kuanzia mwanzo mpaka mwisho, kama unadhani hutaweza ni bora usisome. Kwanza sijakuandikia wewe.Iloooo. Sasa ndugu yangu, rafiki…

Read More

UBISHI WA MZEE WA KALIUWA: Usiingilie ugomvi wa Mo na Simba!

HUU ni ushauri ambao mara nyingi hutolewa kwa wapenzi. Tunaambiwa tusiingilie mahusiano ya watu. Tusiwe washauri sana kwenye ndoa ya Mwekazaji Mohammed Dewji ‘Mo’na Simba. Wanapendana, wamedumu miaka mingi, hivyo wanajuana mapungufu yao. Wapambe tushike jembe tukalime. Chanzo cha vuta nikuvute Simba hivi karibuni, kwa kiasi kikubwa ni mwenendo mbaya wa timu. Kushindwa kutamba ndani…

Read More

Korti Kenya zasitisha huduma kumuomboleza hakimu aliyeuawa – DW – 18.06.2024

Bendera ya idara hiyo inapepea nusu mlingoti hadi marehemu atakapozikwa. Mahakimu na majaji wanaandamana kwa amani kupinga ukosefu wa usalama kwenye sehemu zao za kazi. Maafisa wa ngazi ya juu walikusanyika kwenye mahakama ya Milimani jijini Nairobi kumuenzi na kumuomboleza hakimu mkuu Monica Kivuti aliyeuawa Alhamisi iliyopita. Maombolezi ya leo yanaongozwa na Jaji Mkuu Martha…

Read More

Siri nyuma ya vifo vya wapanda Mlima Everest-2

Katika toleo lililopita tuliona historia na utukufu wa Mlima Everest na kwa nini unaitwa hivyo. Ingawa wapandaji mlima wengi wanatamani kupanda mlima huo, si wote hufanikiwa kufanya hivyo. Wengine huporomoka kwenye mlima na kupotea. Je, ni mambo gani mahususi yanayosababisha hao kupotea na kufa? Je, kunakuwa na hali mbaya ya hewa, matatizo ya vifaa au…

Read More