WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA MAFANIKIO
-Nishati Safi ya Kupikia yapigiwa chapuo-Wananchi wafurahia kuuona mradi wa JNHPP kupitia kifaa cha Uhalisia Pepe-TANESCO yatoa huduma moja kwa moja ikiwemo ya Nikonekt-Wananchi wajulishwa haki zao kupitia EWURA CCC Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zilizo chini yake imeshiriki kwa mafanikio katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi yaliyoanza tarehe 16 Juni 2024 katika Viwanja…