Moto wateketeza wagonjwa tisa waliokuwa ICU Iran
Tehran. Wagonjwa tisa wamethibitishwa kufariki dunia leo Jumanne Juni 18,2024 kufuatia moto kuzuka Hospitali ya Ghaem iliyopo mji wa Rasht Kaskazini mwa Iran. Vyombo vya habari vya Serikali vimeripoti. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la AFP, moto huo ulizuka kuanzia saa nne usiku wa kuamkia leo na kusababisha maafa hayo. Taarifa zinasema moto huo ulifanikiwa…