Magori awashusha presha mashabiki Simba, ‘aanza kazi’
KAZI imeanza na sasa heshima ya Simba inakwenda kurejea, ndiyo maneno ya mjumbe mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo,Crescentius Magori baada ya kuteuliwa na mwenyekiti wa bodi, Mohammed Dewji ‘Mo’. Hajataka kupoteza muda, ameanza majukumu yake. Mo Dewji alifanya uteuzi huo juzi Jumapili ambapo aliwachagua wajumbe ambao ni Mohamed Nassor, Salim Abdallah ‘Try…