Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Year: 2024

  • Home
  • 2024
  • Page 18
Michezo

Hasnath: Kiarabu noma, ila tunaelewana

December 29, 2024 Admin

WINGA wa FC Masar inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Misri, Hasnath Ubamba amesema lugha ya Kiarabu ambayo ndio inatumika nchini humo ikiwamo mazoezini ni ngumu

Read More
Kimataifa

'Hakuwezi kuwa na suluhu la kijeshi kwa vita hivi' — Global Issues

December 29, 2024 Admin

Ramtane Lamamra, Mjumbe Binafsi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa Sudan hivi karibuni alisafiri hadi Sudan, ambako alikutana na viongozi wakuu wa Serikali,

Read More
Habari

Netanyahu kufanyiwa upasuaji wa tezi dume leo

December 29, 2024 Admin

Israel. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa tezi dume hii leo Jumapili. Upasuaji huo unafuatia kugunduliwa kuwa na ugonjwa huo, ofisi

Read More
Michezo

Mastaa hawa wako na familia

December 29, 2024 Admin

IKIWA imesalia siku moja kuuaga mwaka 2024 na kuukaribisha 2025, baadhi ya mastaa wa Tanzania wanaocheza nje ya nchi wako nchini kula likizo za sikukuu.

Read More
Habari

Raia wa Russia mbaroni akidaiwa kupiga picha na kuzituma Ukraine

December 29, 2024 Admin

Russia. Raia wa Russia (jina halijawekwa wazi) amekamatwa na maofisa wa vikosi vya ulinzi na usalama nchini Russia akituhumiwa kufanya vitendo vya uhaini nchini humo.

Read More
Habari

Maisha duni familia ya pacha waliotenganishwa – 3

December 29, 2024 Admin

Dar es Salaam. Wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi akiwaomba Watanzania wenye uwezo kumjengea nyumba Tabora, Hadija Shaban (24), mama

Read More
Habari

Walalama mahindi yao kufyekwa, Serikali yajibu

December 29, 2024 Admin

Katavi. Wakati wakulima katika Kijiji cha Kagunga Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wakilia kufyekwa kwa mazao yao shambani, Serikali wilayani humo imefafanua tukio hilo, huku

Read More
Habari

Spika Tulia ataka Idara ya Uhamiaji kudhibiti uingiaji holela wa wageni

December 29, 2024 Admin

Unguja.  Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameitaka Idara ya Uhamiaji kuimarisha vitengo vyake vya usalama ili kudhibiti uingiaji holela wa wageni wanaoweza kuhatarisha usalama

Read More
Habari

Radi yaua watano wa familia moja, yajeruhi watano Chunya

December 29, 2024 Admin

Mbeya. Watu watano wa familia moja kutoka jamii ya wafugaji wamepoteza maisha na wengine watano kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi kutokana na mvua kubwa iliyonyesha

Read More
Michezo

Kwa Katwila ni maeneo mawili tu

December 29, 2024 Admin

WAKATI klabu zikiendelea kuvuta silaha mpya kwa ajili ya kujiboresha, kocha wa Bigman, Zubery Katwila amesema hatokuwa na haraka katika kuwaingiza wachezaji wapya, licha ya

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 17 18 19 … 2,317 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.