Viongozi wapendekeza suluhisho la amani kwa mzozo wa Ukraine – DW – 17.06.2024
Viongozi hao walijadili namna ya kumaliza vita kati Moscow na Kiev pamoja na hitaji la kufanya mazungumzo na Urusi, lakini wakashindwa kuelezea ni jinsi gani na lini hilo litafanyika. Zaidi ya miaka miwili baada ya Urusi kuivamia Ukraine, viongozi na maafisa wakuu kutoka zaidi ya nchi 90 walijadiliana kwa siku mbili mwishoni mwa juma katika…