WAZIRI MKUU KWENYE SWALA YA EID NA BARAZA LA EID
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiswali swala ya Eid iliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam. Swala hiyo iliongozwa na Sheikh Ally Muhiyidiin Mkologole Juni 17, 2024 jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza akizungumza na waumini wa dini ya kiislam wakati wa baraza…