Vichwa vya nyuklia vinawekwa katika hali ya tahadhari – DW – 17.06.2024
Kulingana na ripoti mpya iliyochapishwa na taasisi ya SIPRI, idadi ya vichwa vya nyuklia vilivyowekwa katika hali ya tahadhari inaongezeka kwa kasi. Mkurugenzi wa taasisi hiyo ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya amani na usalama Dan Smith ameeleza kuwa ongezeko la idadi ya vichwa vya nyuklia kunatia wasiwasi. Soma pia: SIPRI: Matumizi ya kijeshi yaongezeka…