WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KIDO CBALOZI WA KAMPENI YA HOLELA-HOLELA ITAKUKOSTI
Kampeni ya Holela-Holea Itakukosti inasisitiza mbinu kamilifu ya “Afya Moja” kushughulikia tatizo la UVIDA na magonjwa ya zuonotiki. Holela-Holela ilizinduliwa mwishoni mwa mwezi uliopita ikiwa ni ushirikiano ya Ofisi ya Waziri Mkuu Wizara ya Afya, Wizara ya Mazingira, Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID). Dodoma Jumamosi…