Nyota Simba aangua kilio uwanjani
NAHODHA wa timu ya vijana ya Simba chini ya miaka 17, Abdul Salum ‘Camavinga’ ameangua kilio baada ya timu yake kupoteza mchezo wa kwanza katika ligi hiyo dhidi ya Yanga kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Camavinga ambaye alionyesha kiwango bora katika mchezo huo, ilibidi abembelezwe na wachezaji wenzake pamoja na benchi…