Tabora United yabaki Ligi Kuu, yaizima Biashara kibabe
KAZI imeisha! Baada ya Tabora United jioni ya leo Jumapili kufanya kweli ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mjini Tabora kwa kuinyoosha Biashara United kwa mabao 2-0 na kujihakikisha kusalia katika Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao. Tabora ilipata ushindi huo unaoifanya iizuie Biashara Utd kurejea Ligi Kuu katika pambano la marudiano ya…