ADHABU MBADALA KUPUNGUZA MSONGAMANO GEREZANI
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema Serikali imefanikiwa kupunguza msongamano katika Magereza mbalimbali nchini mara baada ya kuanza kutekeleza adhabu mbadala kwa wafungwa wanaotumikia adhabu za nje ya Magereza ambapo takriban wafungwa 2000 kila siku wanatumikia adhabu za nje Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma za Uangalizi Wizara ya Mambo ya…