Hizi hapa sifa za baba bora
“Inawezekana vipi nyumbani nawaacha watoto na mama yao halafu ikitokea wamefanya makosa anashindwa kuwaadhibu anasubiri hadi mimi nirudi. Unarudi usiku unapewa kesi ya mtoto iliyofanyika tangu asubuhi unalazimika kuadabisha ili akae kwenye mstari. “Hili nimelifanya kwa muda mrefu ila naona hatari yake, watoto watanichukia yani mimi ndiyo naonekana katili halafu mama yao ni mtu mwema…