Wanajeshi wanane wauawa kwenye mlipuko Israel
Gaza. Wanajeshi wanane wa Israel wameuawa katika mlipuko uliotokea kusini mwa Gaza jana Jumamosi Juni 15,2024, Jeshi la nchi hiyo (IDF) limesema vifo hivyo ni mojawapo ya hasara kubwa zaidi katika vita yake na wanamgambo wa Hamas. Kwa mujibu wa IDF, wanajeshi hao wameuawa wakati gari la kivita la Namer walilokuwa wakisafiria kulipuka karibu na…